Abuja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ml:അബുജ
d roboti Nyongeza: sl:Abuja; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Locator Map Abuja-Nigeria.png|right|thumbnails|250px|Mahali pa Abuja kule Nigeria]]
 
'''Abuja''' ni [[mji mkuu]] wa [[Nigeria]]. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 178,462 [http://www.world-gazetteer.com/wg.php?x=&men=gcis&lng=en&dat=32&geo=-158&srt=npan&col=aohdq&pt=c&va=x]. Mwaka wa 1976, serikali ya Nigeria iliamua kuanzisha mji mkuu mpya badala ya [[Lagos]]. Wakachagua katikati ya nchi, na mipango ya ujenzi ikaundwa chini ya makampuni matatu ya Marekani: PRC Corporation; Wallace, McHarg, Roberts na Todd; na Archisystems. Mipango hiyo ikabadilishwa baadaye na [[Kenzo Tange]], msanifu majengo maarufu wa [[Japani]]. Abuja ikatangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Nigeria tarehe 12 Desemba 1991. Iko mahali pa 9, 10, Kaskazini na 7, 10, Mashariki. [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html]
Mstari 5:
Balozi za nchi nyingi zikahamishwa Abuja kutoka Lagos.
 
== Historia ==
Sifa muhimu ya Abuja ni [[Mlima wa Aso]] ambao ni mwamba ulio na urefu wa mita 400. Upande wa kusini wa mlima huo, kuna [[Ikulu]] ya [[Rais]], [[Bunge]] la Nigeria, [[Mahakama Kuu]] na sehemu nyingi za mji.
 
Majengo maarufu mengine ni Msikiti wa Taifa (''Nigerian National Mosque'') na Kanisa Kuu la Madhehebu (''National Ecumenical Centre Cathedral''). Kuna kiwanja cha ndege cha kimataifa (''Nnamdi Azikiwe International Airport''), karibu na Mlima wa Zuma. Sehemu nyingine za mji hazijajengwa ilivyopangwa, na majengo mengi yanaendelea kujengwa.
 
Mji wa Abuja unagombea kuwa mahali pa [[Michezo ya Jumuiya ya Madola]] kwa mwaka wa 2014 (''2014 Commonwealth Games'').
 
== Marejeo ya nje ==
* [http://www.fct.gov.ng/ Official site of Nigeria's Federal Capital Territory (FCT) and City of Abuja]
* [http://omcea.be/195304,abuja,nigeria,capitol/ Makala ya WorldPress inayohusu mabadiliko kwenye Abuja]
Mstari 18:
* [http://www.proav.de/photopages/abuja// Picha za Abuja]
 
[[CategoryJamii:Miji ya Nigeria]]
[[CategoryJamii: Miji Mikuu Afrika]]
[[CategoryJamii:Abuja| ]]
 
[[af:Abuja]]
Mstari 85:
[[simple:Abuja]]
[[sk:Abuja]]
[[sl:Abuja]]
[[sr:Абуџа]]
[[sv:Abuja]]