Klaus Barbie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mtu
d roboti Nyongeza: cs:Klaus Barbie; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Klaus Barbie.jpg|thumb|right|190px|Klaus Barbie akivaa sare za SS wakati wa vita.]]
'''Klaus Barbie''' (alizawa tar. [[25 Oktoba]], [[1913]] – [[25 Septemba|September 25]], [[1991]]) alikuwa mwanajeshi wa [[Schutzstaffel|SS]] au [[Schutzstaffel]]-Hauptsturmführer, na pia alikuwa mmoja wa wanachama wa [[Gestapo]]. Alikuwa akifahamika kama the '''Butcher of Lyon''' au '''Mchinjaji wa Lyon'''.
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Klaus Barbie alizaliwa mjini [[Bad Godesberg]], karibu na mji wa [[Bonn]], [[Ujerumani]]. Barbie alizaliwa katika familia ya waumini wa dhebu la Wakatoliki. Wazazi wake wote walikuwwa walimu. Kunako mwaka wa [[1923]] alipelekwa shule ambayo babake ndiko alikokuwa akifundishia. Baada ya hapo, akapelekwa shule ya bweni ya mjini Trier.
 
Mstari 9:
Mnamo [[Septemba]] [[1935]], alijunga na SD au Sicherheitsdienst (kikosi cha ulinzi), ni tawi maalum la [[Schutzstaffel|SS]]. Baadae kidogo alihamishwa kwenda kutumikia nchini [[Uholanzi]]. Mnamo mwaka [[1942]], alihamishiwa mjini [[Dijon]] na kunako mwezi Novemba ya mwaka huo huo wa 1942 akahamishiwa mjini Lyon, [[Ufaransa]], ambapo huko ndiko alikokuja kuwa kiongozi wa Gestapo ndogo.
 
== Makosa ya kivita ==
==Kesi yake ya mauwaji==
== Marejeo ==
# [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/july/3/newsid_2492000/2492285.stm Makala kuhusu Barbie katika BBC]
# http://www.archives.gov/iwg/research-papers/barbie-irr-file.html
# http://www.time.com/time/magazine/1998/int/981109/latin_america.perons_na30a.html
# http://en.wikipedia.org/wiki/Stefano_Delle_Chiaie
== Viungo vya nje ==
* [http://members.aol.com/voyl/barbie/ Tovuti inayonyesha kesi kuhusu Klaus Barbie]
 
{{mbegu-mtu}}
{{Link FA|it}}
 
[[Jamii:Viongozi wa Nazi]]
 
[[CategoryJamii:ViongoziMaofisa wa NaziSS]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1913]]
[[Category:Maofisa wa SS]]
[[CategoryJamii:WaliozaliwaWaliofariki 19131991]]
[[Category:Waliofariki 1991]]
 
 
 
 
 
{{Link FA|it}}
 
[[ca:Klaus Barbie]]
[[cs:Klaus Barbie]]
[[de:Klaus Barbie]]
[[en:Klaus Barbie]]