Moshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Moshi''' ni jina la kutaja mahali katika [[Tanzania]] kaskazini-mashariki:
[[Image:Moshi_view_kilimanjaro.jpg|right|350px|[[Mlima Kilimanjaro]] unavyoonekana kutoka Moshi mjini|thumb]]
*[[Moshi Mjini|Wilaya ya Moshi Mjini]]
[[Image:Moshi_mosque.jpg|right|350px|[[Msikiti]] Mkuu wa Moshi|thumb]]
*[[Moshi (mji)|Mji wa Moshi]] ambao ni makao makuu ya wilaya hiyo na pia ya [[Mkoa wa Kilimanjaro]]
 
{{mbegumaana}}
'''Moshi''' ni makao makuu ya [[mkoa wa Kilimanjaro]] nchini [[Tanzania]]. Kabila linalopatikana katika mji huu ni la [[Wachagga]]. Wachagga wanapenda vyakula vinavyopikwa kwa kutumia ndizi kama vile [[mtori]], [[kitawa]], na [[machalari. Wakazi wengi wa moshi ni wakulima, wafugaji na wafanyabiashara. Mji wa Moshi una mandhari nzuri ya kuvutia watalii.
 
[[Category:Miji ya Tanzania]]
Mji wa Moshi una vyuo vikuu vitatu:
'''MUCCoBS''' ( Moshi University College Of Cooperatives and Business Studies) ambacho ni chuo kikuu kishiriki cha Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro
'''MWUCE''' ( Mwenge University College Of Education ) ambacho ni chuo kikuu kishiriki cha SAUT ( St. Augustine University-Mwanza
'''KCMC Medical School''' chini ya chuo kikuu cha Tumaini-Iringa
 
Kwa mujibu wa [[sensa]] ya mwaka 2002, mji huu una wakazi wapatao 144,739. Kabila linaloongoza kwa idadi ya wakazi wa mji wa Moshi ni Wachagga. Kuna makabila mengi kama Wapare, Wanyakyusa,Wasukuma, Warangi,Wasambaa n.k.
 
Moshi ni mji wenye baridi katika miezi ya [[Juni]] mpaka [[Agosti]] na kipindi cha joto katika miezi ya [[Oktoba]] hadi katikati ya [[Januari]].
 
Watu wengi wanaenda Moshi kufanya kazi na kurudi nyumbani jioni. mji wa moshi idadi kubwa ya wakazi wake ni wachaga.watalii hupenda sana mji wa moshi kwa sababu ya mlima kilimanjaro na huduma muhimu kama mahoteli na usafiri.
[[Category:Miji ya Tanzania]]
[[Category:Mkoa wa Kilimanjaro]]
 
{{mbegu}}
 
[[de:Moshi]]
[[en:Moshi]]
[[fr:Moshi]]
[[it:Moshi]]
[[pl:Moshi]]