Baja California (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Baja California''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kaskazini-magharibi ya nchi. Jimbo lina wakazi wapatao 2,844,469 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 69,921.
 
Mji mkuu ni [[Mexicali, Baja California|Mexicali]] na mji mkubwa ni [[Tijuana, Baja California|Tijuana]]. Iko kwenye pwani la [[Pasifiki]] na [[Ghuba ya California]] (au Bahari ya Cortez).
 
Imepakana na [[Marekani]] ([[California]]), [[Sonora (jimbo)|Sonora]] na [[Baja California Sur]].