Ieoh Ming Pei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: hif:I. M. Pei; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
[[
'''Ieoh Ming Pei''' (*[[26 Aprili]] [[1917]]) ni msanifu majengo kutoka [[China]] anayeishi [[Marekani]]. Anapenda kutumia maumbo ya kijiometria akipendelea saruji, feleji, kioo na mwamba.
== Maisha ==
Pei alizaliwa mjini [[Guangzhou]] ([[China]]). Alipokea masomo katika utamaduni wa Kichina lakini pia kwenye shule ya Kimarekani. 1935 akaenda Marekani kwa masomo ya [[usanifu]] majengo. Alisoma vitabu vya [[Le Corbusier]] na kuwa masaidizi wa [[Walter Gropius]].
1942 alimwoa mama Mchina Ai-Ling Loon akazaa naye wavulana watatu na binti mmoja.
== Kazi ==
Baada ya kumaliza chuo kikuu aliamua kukaa MArekani kwa sababuy a vita ya wenyewe kwa wenyewe ya China ya miaka ya 1940 iliyoishia kwa ushindi wa [[Mao Tse Tung]]. Aliajiriwa na kampuni kubwa kama msanifu mkuu na 1960 aliunda kampni yake ya binafsi.
Mstari 19:
== Picha ==
<gallery>
Image:JFK library Stitch Crop.jpg|Maktaba ya
Image:DHM Pei-Bau.JPG| Makumbusho ya Historia ya Ujerumani,
Image:Rock and Roll Hall of Fame.jpg|[[Rock and Roll Hall of Fame]], [[Cleveland]] ([[1995]])
Mstari 36:
{{EFAULTSORT:Pei, Ieoh Ming}}
[[
[[
[[Category:Wasanii wa China]]▼
[[
[[an:Ieoh Ming Pei]]
Line 61 ⟶ 62:
[[gl:Ieoh Ming Pei]]
[[he:איי אם פיי]]
[[hif:I. M. Pei]]
[[hr:I. M. Pei]]
[[ia:Ieoh Ming Pei]]
|