Billboard Hot 100 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''''Billboard'' Hot 100''' ni jina la kutaja viwango vya muziki, yaani, chati za single, marufu, na kadhali ambapo hutolewa kila wiki na gazeti la [[:en:Billboard (magazine)|''B...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''''Billboard'' Hot 100''' ni jina la kutaja viwango vya muziki, yaani, chati za single, marufumaarufu, na kadhalikadhalika ambapoambazo hutolewa kila wiki na gazeti la [[:en:Billboard (magazine)|''Billboard'']] la nchini [[Marekani]]. Chati hutegemea kwa wimbo kupigwa sana maredioni au kufanya vizuri mauzoni; wiki ya mauzo ya wimbo huanza Jumatatu na kuisha Jumapili; wakati kupigwa redioni kwa nyimbo-inaanza kuanzia Jumatano hadi Jumanne. Chati mpya zinakusanywa na zinatolewa rasmi katika umma na ''Billboard'' mnamo Alhamisi. Kila chati imewekewa tarehe ya "wiki inayoishia" baada ya Jumamosi.
 
:Mfano: