Rais : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-siasa
No edit summary
Mstari 6:
* rais kama mkuu wa nchi asiyeshughulika mambo ya serikali jinsi ilivyo [[Ujerumani]] au [[Uhindi]] ([[serikali ya kibunge]])
 
Katika muundo wa serikali ya kibunge shughuli za serikali zinasimamiwa na [[waziri mkuu]]. Madaraka ya rais katika muundo huuhuo hufanana na madaraka ya [[mfalme]] wa kikatiba isipokuwa hayupo kama rais kwa muda wa maisha yake kama mfalme.
 
Katika [[Uswisi]] kazi ya rais hazitekelezwi na mtu mmoja bali na [[Halmashauri ya Shirikisho]] kwa ujumla.
 
[[Category:Cheo]]
[[Category:Siasa]]
{{mbegu-siasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Rais}}
[[CategoryJamii:Cheo]]
[[CategoryJamii:Siasa]]
 
[[af:President]]