Mein Kampf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yi:מיין קאמף
dNo edit summary
Mstari 13:
# alikashifu demokrasia kama muundo wa serikali na dola akidai ya kwamba utamaduni asilia wa Wajerumani ni mwenye kiongozi wa kitaifa mwenye mamlaka yote
 
Kitabu kilitangazwa kama "biblia" ya harakati ya Manazi. Baada ya Hitler kuwa kiongozi wa serikali na dikteta kilichapichwakilichapishwa na kugawiwa na vyombo vya serikali; bwana na bibi arusi wote walipewa nakala. Kwa jumla kilitolewa zaidi ya mara milioni kumi.
 
Baada ya mwisho wa utawala wake 1945 kitabu kilipigwa marufuku katika Ujerumani hadi leo. Mtu anaruhusiwa kuwa nacho lakini hakuna ruhsa kukichapisha upya.
Mstari 21:
 
[[Jamii:Historia ya Ujerumani]]
[[Jamii:1925Vitabu booksvya 1925]]
 
[[af:Mein Kampf]]