Roald Amundsen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
[[image:Pole-observation.jpg|thumb|250px|Amudsen kwenye ncha ya kusini mwaka 1911]]
 
'''Roald Engebreth Gravning Amundsen''' (* [[16 Julai]], [[1872]] Borge (leo: [[Fredrikstad]] - Norwei; † mnamo [[18 Juni]], [[1928]] katika Aktiki) alikuwa mpelelezi M[[norwei]] aliyekuwa mtu wa kwanza wa kufikia [[Ncha ya kusini]] mwaka 1911.
 
KablayeKabla ya hayo alikuwa mtu wa kwanza aliyefaulu kuvuka [[mpito wa kaskazini-magharibi]] kati ya [[Atlantiki]] na [[Pasifiki]] katika miaka 1903 - 1906.
 
Katika safari mbalimbali alikuwa pia mtu wa kwanza aliyevuka [[Aktiki]] na [[ncha ya kaskazini]] hewani kwa kutumia [[ndegeputo]] mwaka 1926.
 
Alikufa 1928 kwenyakwenye Aktiki alipojaribu kumwokoa mpelelezi Mwitalia aliyekuwa alipotea katika barafu.
 
{{DEFAULTSORT:Amundsen, Roald}}
 
[[Category:Wapelelezi|Amundsen, Rodoald]]
[[Category:Watu wa Norwei|Amundsen, Rodoald]]
[[Category:Waliozaliwa 1872|Amundsen, Rodoald]]
[[Category:WaliokufaWaliofariki 1928|Amundsen, Rodoald]]
 
[[af:Roald Amundsen]]