Bamba la Pasifiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: gl:Placa pacífica
d roboti Nyongeza: th:แผ่นแปซิฟิก; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Pazifische platte.png|thumb|right|300px|Bamba la Pasifiki kwa rangi ya kahawia nyeupe]]
[[ImagePicha:Pacific Ring of Fire.png|thumb|300px|Pete ya moto au mstari wa volkeno huzunguka mipaka ya Bamba la Pasifiki; mistari ya buluu ni sehemu penye volkeno nyingi.]]
'''Bamba la Pasifiki''' ni kati ya [[bamba la gandunia|mabamba makubwa ya gandunia]] ya [[dunia]] yetu. Lipo chini ya bahari ya Pasifiki ikiwa ni bamba la gandunia kubwa kabisa. Maada yake ni miamba nzito ya [[gumawesi]].
 
== Mipaka ==
Bamba la Pasifiki hupakana na mabamba ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]], [[bamba la Juan Fuca|Juan Fuca]], [[bamba la Cocos|Cocos]], [[bamba la Nazca|Nazca]], [[bamba la Antaktika|Antaktika]], [[Bamba la Australia|Australia]] na [[bamba la Ufilipino|Ufilipino]].
 
== Mwendo na pete la moto ==
Bamba lote lina mwendo wa kuelekea kaskazini-magharibi kwa mkasi wa [[sentimita]] 10 kwa mwaka.
 
Mwendo huu unaacha nafasi upande wa mashariki inayoonekana kama [[bonde la ufa]] kwenye msingi wa bahari. Upande wa magharibi bamba lajisukuma chini ya bamba la Ufilipino na tokeo lake ni [[mfereji wa Mariana]].
 
Kando la bamba kuna [[volkeno]] nyingi zinazoitwa "[[pete ya moto]]".
 
[[Jamii:Jiografia]]
 
[[CategoryJamii:JiografiaGandunia]]
[[CategoryJamii:GanduniaPasifiki]]
[[Category:Pasifiki]]
 
[[ar:صفيحة المحيط الهادي]]
Line 40 ⟶ 39:
[[ru:Тихоокеанская плита]]
[[sk:Pacifická platňa]]
[[th:แผ่นแปซิฟิก]]
[[uk:Тихоокеанська плита]]
[[vi:Mảng Thái Bình Dương]]