Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: hu:Pulitzer József
No edit summary
Mstari 1:
'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]], [[1847]] – [[29 Oktoba]], [[1911]]) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.
 
[[Category:Waandishi wa Marekani|P]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|P]]