Tofauti kati ya marekesbisho "Nuevo León"

46 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
no edit summary
(mbegu-jio-Mexiko)
d
[[image:Mexico stateflags Nuevo Leon.png|thumb|Bendera ya Nuevo León]]
[[image:Mexico map, MX-NLE.svg|thumb|Mahali pa Nuevo León katika [[Mexiko]]]]
'''Nuevo León''' (León mpya, ufalme wa kale katika [[Hispania]]) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Monterrey, Nuevo León|Monterrey]].
 
Imepakana na [[Coahuila]], [[Tamaulipas]] na [[San Luis Potosí (jimbo)|San Luis Potosí]]. Upande wa kaskazini kuna mpeka na [[Marekani]] ([[kilomita]] 15 pekee).
 
== Miji Mikubwa ==
# [[Monterrey, Nuevo León|Monterrey]] (1,133,814)
# [[Guadalupe]] (691,931)
# [[San Nicolás de los Garza]] (476,761)
1,706

edits