William Carlos Williams : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''William Carlos Williams''' ([[17 Septemba]], [[1883]] – [[4 Machi]], [[1963]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika [[mashairi]], [[insha]] za historia na [[riwaya]] fupi. Mwaka wa [[1963]] wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza: ''Pictures from Brueghel, and Other Poems'') iliyotolewa mwaka wa 1962.
 
[[Category:Waandishi wa Marekani|W]]
[[Category:Washairi wa Marekani|W]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|W]]