Tofauti kati ya marekesbisho "Edinburgh"

13 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: lmo:Edimbùrgh; cosmetic changes
(mbegu-jio-Ulaya)
d (roboti Nyongeza: lmo:Edimbùrgh; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Edinburgh-coa.png|thumb|Nembo la Edinburgh]]
[[ImagePicha:Edinburgh Princes Street01.jpg|thumb|right|Princes Street mjini Edinburgh]]
 
'''Edinburgh''' ([[Kigaeli]]: ''Dùn Èideann'') ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa wa pili wa [[Uskoti]] mwenye wakazi 435,790 (2005). Mji uko kwenye pwani la mashariki wa Uskoti kwenye mdomo wa [[mto Forth]] baharini.
 
[[Boma la Edinburgh]] liko katikati ya mji kwenye kilima kikali.
Edinburgh imejulikana kote Ulaya kwa sababu ya sherehe yake ya maigizo inayofanyika kila mwaka na washiriki maelfu.
 
== Historia ==
Boma lilianzishwa kabla ya [[karne ya 7]] BK. Mji ulianza kukua kando la boma. Mwaka 1437 umekuwa mji mkuu wa Uskoti badala ya [[Perth]]. Ilikuwa pia mahali pa kukutana kwa bunge la Uskoti liliopata jengo lake la pekee mwaka 1639. Baada ya maungano ya [[Uingereza]] na Uskoti mwaka 1707 hapakuwa tena na serikali au bunge la pekee hadi [[1999]] mwaka wa kurudishwa bunge na serikaliya kijimbo kwa Uskoti. Edinburgh imekuwa tena mji mkuu wa angalau wa jimbo linalojitawala katika mambo ya ndani.
 
 
== Picha za Edinburgh ==
<gallery>
Image:Arthurs Seat Edinburgh.jpg|Kilima cha "Kiti cha Arthur" (kwa Kiingereza "''Arthur's Seat''") kinavyoonekana kutoka "Kilima cha Blackford" ("''Blackford Hill''")
{{commons|Edinburgh}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[ImagePicha:Edinburgh-panoramic.jpg|thumb|800px|left|Mji wa Edinburgh]]
 
[[CategoryJamii:Uskoti]]
[[CategoryJamii:Miji ya Uskoti]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Ulaya]]
 
[[af:Edinburg]]
[[la:Edimburgum]]
[[lb:Edinburgh]]
[[lmo:Edimbùrgh]]
[[lt:Edinburgas]]
[[lv:Edinburga]]
43,953

edits