Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 9:
 
Jumla ya wakazi ilikuwa watu 1,717,908 (mw. 2002).
Kuna wilaya 6 (idadi ya wakazi kwa mabano): [[Tabora mjiniMjini]] (188,808), [[Nzega]] (417,097), [[Igunga]] (325,547), [[Uyui]] (282,272), [[Urambo]] (370,796), [[Sikonge]] (133,388).
 
Tabora haina barabara za lami. Kuna njia ya reli ya kati kutoka [[DaresaalaamDaressalaam]] kwenda [[Kigoma]] kwa upande moja na kwenda [[Mwanza]] kwa upande mwingine.
 
Jina la [[Urambo]] humkumbuka [[Mtemi Mirambo]] aliyekuwa mtwala muhimu wa Wanyamwezi kabla ya kuingia kwa ukoloni.
 
Wenyeji wa Tabora ni hasa [[Wanyamwezi]].
 
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
[[Category:Mikoa ya Tanzania|T]]