Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 4:
'''Tabora''' ni jina la mji, wilaya na mkoa wa Tanzania ya kati.
 
'''Mkoa wa Tabora''' iko kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Makao makuu yako [[Tabora mjini(mji)|Tabora Mjini]].
 
Eneo la mkoa ni 76,151 km² mnamo 34,698 km² (46%) ni hifadhi ya misitu, 17,122 km² (22%) ni [[hifadhi ya wanyama]]. Wakazi walio wengi ni wakulima na wafugaji.