Kislovakia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yi:סלאוואקיש; cosmetic changes
Mstari 15:
! colspan="2" style="background-color:#A9BEC7;" |Uainishaji wa kiisimu:
|-
| colspan="2" |[[ImagePicha:Slavic europe.png|200px|center]]
|-
| colspan="2" align="center"|
Mstari 42:
'''Kislovakia''' ni lugha rasmi inayoongelewa nchini [[Slovakia]], nchi iliyopo Mashariki mwa [[Ulaya]]. Ni moja kati ya [[Lugha za Kislavoni]], mkusanyiko wa lugha unajumlisha [[Kirusi]], [[Kipoland]] na lugha nyingine kadhaa za Mashariki ya Ulaya.
 
Lugha hii inafanana kabisa na [[Kicheki]], na Wacheki na Wasovakia wanaweza kuelewana vizuri kabisa wakiwa wanazungumza lugha zao. Kipoland na [[Kisorbia]] kina fanana kabisa. Kislovakia kinazungumzwa nchini [[Slovakia]] na zaidi ya watu milioni 5.
 
== Matamshi ==
Kislovakia kinaandikwa kutumia [[alfabeti ya Kilatini|alfabeti za Kilatini]], lakini kuna viji herufi fulani ambavyo viji harama maalum (vinaitwa “[[diacritics]]”).
 
Herufi č, š, ž and dž zina sauti kama ile ya Kiingereza katika ''ch''in, ''sh''in, vi''s''ion na ''j''uice.
Mstari 51:
Herufi ď, ľ, ň, and ť huitwa “[[konsonanti]] nyepesi”. Hutamkwa kwa kukata ulimi juu kabisa ya mdomo.
 
C, dz na j nazo pia ni nyepesi. C ipo kama ''ts'' katika ba''ts'', dz ipo kama ''ds'' katika ro''ds'', na j ipo kama y katika ''y''es.
 
Alama zake katika [[voweli]] huonyesha kwamba voweli hutamkwa kwa urefu zaidi: á, é, í, ó, ý ú. Voweli ndefu haifuati katika silabi inayofuata kwa kutumia voweli fupi.
Mstari 63:
[[Kistress]] ndiyo inayotumika kuanzishia silabi ya neno. Hii ni tofauti kabisa na Kirusi, kwa mfano, wapi Kistress kinaweza kikawa.
 
Kama jinsi ilivyo katika lugha zingine za Kislavoni, Kislovakia ni vigumu kwa wazungumzaji wa Kiingereza kuweza kutamka. Hii hasa kwa sababu maneno kadhaa yameambatanisha [[konsonanti]] nyingi kuwa pamoja. Katika sentensi: “Strč prst skrz krk!” hakuna hata voweli moja (ina maana: “Zungusha vidole kwenye shingo yako!”)!
{{mbegu-lugha}}
 
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Lugha za Kislavoni]]
[[Jamii:Lugha za Ulaya]]
 
{{mbegu-lugha}}
 
<!-- interwiki -->
 
[[af:Slowaaks]]
Line 156 ⟶ 154:
[[uk:Словацька мова]]
[[vi:Tiếng Slovak]]
[[yi:סלאוואקיש]]
[[zea:Slowaoks]]
[[zh:斯洛伐克语]]