Tofauti kati ya marekesbisho "NASA"

2 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
d (roboti Badiliko: bg:НАСА)
'''NASA''' ni kifupi cha [[Kiingereza]] cha "'''National Aeronautics and Space Administration'''" (Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga). Mamlaka hii ilianzishwa 1958. Wajibu wake ni kusimamia miradi ya serikali ya [[Marekani]] ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. NASA inatawala utengenezaji wa roketi za kurusha vyombo vya angani na vyombo vya angani vyenyewe.
 
[[ImagePicha:Mercury 3.jpg|thumb|200px|right|Roketi iliyorusha "Freedom 7" na Alan Shepard Jr.angani tar. 5.5.1961]]
 
Miradi ya NASA ilianzishwa kutokana na [[Mshtuko wa Sputnik]] yaani baada ya [[Warusi]] kushtusha dunia kwa kupeleka vyombo vya angani vya kwanza katika mradi wao wa [[Sputnik]]. Ulifuatwa na mradi wa "[[Vostok]]" ambao tarehe [[12 Aprili]], [[1961]] ulimfikisha [[Yuri Gagarin]] angani akiwa mtu wa kwanza huko kwenda angani.
 
Kutoka mwanzo ule kuna miradi mingi iliyofuata.
[[ImagePicha:Aldrin Apollo 11.jpg|thumb|175px|left|Buzz Aldrin akitembea kwenye uso wa mwezi wakati wa safari ya Apollo 11.]]
 
= Viungo vya nje =
*[http://www.nasa.gov/ Tovuti ya NASA]
{{Link FA|eo}}
 
[[CategoryJamii:Marekani]]
[[categoryJamii:Usafiri wa anga la nje]]
 
{{Link FA|eo}}
 
[[ang:NASA]]
[[pt:NASA]]
[[ro:NASA]]
[[ru:Национальное управление США по аэронавтике и исследованию космического пространства]]
[[scn:NASA]]
[[sco:NASA]]
162

edits