Robben Island : Tofauti kati ya masahihisho
d
roboti Nyongeza: th:เกาะร็อบเบิน; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: cy:Ynys Robben) |
Xqbot (majadiliano | michango) d (roboti Nyongeza: th:เกาะร็อบเบิน; cosmetic changes) |
||
[[
[[
'''Robben Island''' ni kisiwa kidogo 12 [[km]] mbele ya mji wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]) katika [[Atlantiki]].
Kisiwa kina eneo la [[hektari]] 547, urefu ni 4.5 km na upana hadi 1.5 km.
Kisiwa kimejulikana kutokana na [[gereza]] lake na mfungwa mashuhuri [[Nelson Mandela]]. Wafungwa pamoja naye walikuwa
Siku hizi kisiwa ni makumbusho na hifadhi la kimazingira. Watimishi wanaoongoza wageni ni wafungwa wa zamani. Kipo kwenye orodha ya [[UNESCO]] ya [[Urithi wa Dunia]].
[[
[[af:Robbeneiland]]
[[ru:Роббен]]
[[sv:Robben Island]]
[[th:เกาะร็อบเบิน]]
[[zh:羅本島]]
|