Yordani (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: arc:ܢܗܪܐ ܕܝܘܪܕܢܢ
d roboti Nyongeza: ga:Abhainn na hIordáine; cosmetic changes
Mstari 18:
 
 
'''Yordani''' ([[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'', [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni mto mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Kwa sehemu kubwa ya njia yake ni mpaka kati ya ufalme wa [[Yordani]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi. Katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
 
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayoanza karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani wa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini. Yordani hupita [[Galilea]] na kutelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]]. Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari hivyo Yordani ni mto wa duni kabisa duniani.
 
Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi kibinadamu katika miji yake.
Mstari 27:
Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloenelea katika bonde la Araba na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].
 
[[CategoryJamii:Mito ya Israel]]
[[CategoryJamii:Mito ya Yordani]]
[[CategoryJamii:Mahali pa Biblia]]
 
[[ar:نهر الأردن]]
Mstari 52:
[[fr:Jourdain]]
[[fy:Jordaan]]
[[ga:Abhainn na hIordáine]]
[[gd:Abhainn Iòrdan]]
[[gl:Río Xordán]]