Tofauti kati ya marekesbisho "TANZAM"

576 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
njiapanda
(njiapanda)
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
Barabara hii ilipanushwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya 1968 hadi 1973. KusidiKusudi lake lilikuwa kisiasa maana Zambia ilitafuta nhianjia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena [[Afrika Kusini]]. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni ya [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya [[Apartheid]].
 
Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.
 
== Tabia ==
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika mikoa ya [[Pwani]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].
 
Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]]. Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] na [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''.
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea Tanga na Kilimanjaro-Nairobi
* mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda Dodoma inayoendelea magharibi hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini Makambako kuna njiapanda ya barabara kwenda Songea inayoendelea katika hali baya hadi [[Mtwara]]
* [[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].
 
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]].
 
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]]. Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] na [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''.