Tofauti kati ya marekesbisho "TANZAM"

175 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(njiapanda)
Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.
 
== Tazam nadani ya Tanzania ==
== Tabia ==
TANZAM ina urefu wa [[kilomita]] 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa ''Great North Road'' na ndani ya Tanzania ina namba ''T1''.
 
 
Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea [[Tanga]] na [[Kilimanjaro]]-[[Nairobi]]
* mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda Dodoma inayoendelea magharibi hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini [[Makambako]] kuna njiapanda ya barabara kwenda [[Songea]] inayoendelea katika hali baya hadi [[Mtwara]]
* [[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].
 
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]].
 
==Tanzam ndani ya Zambia==
Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia [[Zambia]]. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] nakupitia [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''. Kapiri Mposhi inajiunga na barabara kuu ya Zambia kutoka [[Lumbumbashi]] (Kongo) kwenda [[Lusaka]].