Tofauti kati ya marekesbisho "Radha Mitchell"

22 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d (roboti Nyongeza: sr:Рада Мичел)
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Mitchell alizaliwa mjini [[Melbourne]], [[Australia]]. Wazazi wake walitarikiana tangu yungali mdogo. Mama yake ni mwanamitindo ambaye baadaye alibadilika na kuwa mbunifu wa mavazi. Baba yake ni mtengenezaji wa filamu. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya St. Michael's Grammar School. Jina lake la kwanza, "Radha", lina asili ya Uhindu katika Uhindi, ambapo inamaana ya Mungu wa Kihindi - Krishna. Kwa upande mwingine wa jina lake linatokana na Uhindi asilia, "Rani" linamaana ya Malikia na Anunda linamaana ya furaha. Mitchell linamaana ya [[mbogamavegeteria, zayaani majani]]watu wasio kula nyama na kufanya mazoezi ya [[Yoga]].
 
==Filamu alizocheza==
* Sugar and Spice (2000-2008)