Octavio Paz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwandishi
Picha:Paz0.jpg
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Paz0.jpg|thumb|right|220px|Octavio Paz]]
 
'''Octavio Paz''' ([[31 Machi]], [[1914]] – [[19 Aprili]], [[1998]]) alikuwa mshairi na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Mexiko]]. Tangu mwaka wa 1945 alifanya kazi kama balozi kwa ajili ya nchi yake. Mwaka wa 1990 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.