Alexander Fleming : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwanasayansi
Picha:Alexander Fleming.jpg
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Alexander Fleming.jpg|thumb|right|Alexander Fleming, 1944|220px]]
 
'''Alexander Fleming''' ([[6 Agosti]], [[1881]] – [[11 Machi]], [[1955]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Uskoti]]. Hasa anajulikana kwa kugundua [[penisilini]]. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa [[1944]]. Mwaka wa [[1945]], pamoja na [[Ernst Boris Chain]] na [[Howard Walter Florey]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.