Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 6:
Kuna mikoa mitano ambayo ni (idadi ya wakazi katika mabano) [[Songea Mjini]] (131,336), [[Songea Vijijini]] (147,924), [[Tunduru]] (247,976), [[Mbinga]] (404,799), [[Namtumbo]] (185,131). Makao makuu ya mkoa ndipo Songea. Jumla ya wakazi wote katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,117,166 (sensa 2002).
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]] na [[Wandengereko]].
 
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya watawa [[Wabenedikto]].