Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
 
==Eneo la Mkoa wa Lindi==
'''Mkoa wa Lindi''' umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]]. Mkoa huu umeanzishwa mwaka 1971 una eneo la 67,000 [[km²]]. Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
 
Mkoa una wilaya sita za [[Lindi mjiniMjini]] na vijijini[[Lindi Vijijini]], [[Kilwa]], [[Nachingwea]], [[Liwale]] na [[Ruangwa]].
 
Mito mikubwa ndiyo [[Lukuledi]], Matando na Mavuji, yote ielekeayaelekea Bahari Hindi. Mwinuko huanza mwambaoni ukipanda hadi mita 500, hakuna milima mirefu sana.
 
==Wakazi==
Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu asilimia 90 kati hao ndio wakulima. Makabila makubwa zaidi ni hasa [[Wamwera]] halafu [[Wamachinga]] na [[Wamatumbi]] na [[Wangindo]] huko Kilwa.
 
Idadi ya wakazi wa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),