Paul Simon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vi:Paul Simon; cosmetic changes
Picha:Paul Simon 2007.jpg
Mstari 1:
[[Picha:Paul Simon 2007.jpg|thumb|right|240px|Paul Simon, 1990]]
'''Paul Simon''' ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa. Amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi; moja ya makundi hayo ni [[Ladysmith Black Mambazo]]. Nyimbo alizowahi kuimba ni "Homeless", "Mother and child reunion" na "Diamond in the sole of her shoes".
 
Paul Simon alizaliwa tarehe [[13 Oktoba]], [[1941]] katika mji wa Newark Height, New Jersey. Huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi. Aliwahi kufunga ndoa mara tatu, ana watoto wanne. Mmojawapo ni mpigaji gitaa kama baba yake.
 
{{mbegu-muziki-USA}}
 
{{DEFAULTSORT:Simon, Paul}}