Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 7:
== Wilaya ==
[[Image:Tanzania Pwani.GIF|thumb|left|150px|Wilaya za Mkoa wa Pwani]]
Mkoa wa Pwani una wilaya sita ndizo (idadi ya wakazi katika mabano): [[Wilaya ya Bagamoyo|Bagamoyo]] (230,164), [[Wilaya ya Kibaha|Kibaha]] (132,045), [[Kisarawe]] (95,614), [[Mkuranga]] (187,428), [[Wilaya ya Rufiji|Rufiji]] (203,102) na [[Wilaya ya Mafia|Mafia]] (40,801).
 
Mkoa huu una jumla ya majimbo ya uchaguzi yanayofikia (7) ambayo yanajumuisha Bagamoyo, Chalinze, Kibaha, Kisarawe, Mafia, Mkuranga na Rufiji.