Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 2:
'''Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi''' ni kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. Mikoa mitatu kati yao iko [[Unguja]] kisiwani.
 
Mkoa huu una wilaya mbili ndizo [[Wilaya ya Unguja Mjini|mjini]] yaani [[Jiji la Zanzibar]] na [[Unguja Magharibi]].
 
Idadi ya wakazi ni 390,074; mjini wako 205,870 na Unguja Magharibi 184,204 (sensa ya 2002).