Lindi (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Lindi''' ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Lindi. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 [http://www.tanzania.go.tz/c...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:15, 1 Desemba 2006

Lindi ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Lindi. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 [1].