Agano Jipya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ko:신약성경
d roboti Nyongeza: lmo:Növ Testament; cosmetic changes
Mstari 10:
Vitabu vya Agano Jipya ni kama ifuatavyo (Kwa mabano: kifupi cha kawaida kwa kutaja kitabu hiki).
 
== Vitabu vya kihistoria ==
[[Injili]] nne zinasimulia habari za Yesu.
*[[Injili ya Matthayo]] (Mt.)
Mstari 21:
*[[Matendo ya Mitume]] (Mdo.)
 
== Nyaraka ==
 
=== [[Nyaraka za Paulo]] ===
Kuna maandiko 13 kati ya nyaraka yanayomtaja [[Mtume Paulo]] kama mwandishi. Wataalamu wa leo hutofautiana kama kweli nyaraka hizi zote zimeandikwa na Paulo mwenyewe. Kwa jumla saba zimetambuliwa na karibu wataalamu wote kuwa ni maandiko yake. Kuhusu mengine kuna maswali kwa sababu mbalimbali (kwa mfano tofauti za lugha, mkazo tofauti ya mafundisho), na wataalamu wengine hudai ya kuwa labda zimeandikwa na wanafunzi wake au na mwandishi kwa niaba ya Paulo.
 
Mstari 41:
 
 
=== Waebrania ===
* [[Waraka kwa Waebrania]] (Ebr.) una tabia ya pekee; tangu zamani wengine waliulihesabu kuwa waraka wa Paulo ingawa ndani yake jina lake halitajwi. Leo karibu wote wanasema si ya kwake.
 
=== Nyaraka katoliki ===
Jina "katoliki" halimaanisha madhehebu ya Kiroma, lakini maana asilia ya neno la [[Kigiriki]] "katoliki" ambayo inaweza kutafsiriwa pia "kwa watu wote".
*[[Waraka wa Yakobo]] (Yak.)
Mstari 54:
*[[Waraka wa Yuda]] (Yud.)
 
== Kitabu cha kinabii ==
Kitabu cha mwisho kinafuata mtindo wa kiapokaliptiko, yaani kinatazama [[historia]] kwa jumla kadiri ya imani katika ushindi wa Yesu juu ya shetani na nguvu zote za uovu. Kinaitwa
*[[Ufunuo wa Yohane]] (Ufu.)
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.htmlbible.com/sacrednamebiblecom/swahili/index.htm Toleo la Agano Jipya kwa Kiswahili]
 
 
{{mbegu-Ukristo}}
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Biblia]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
[[CategoryJamii:Biblia]]
 
[[ang:Nīƿu Ȝecȳðnes]]
Mstari 117:
[[ky:Жаңы Осуят]]
[[la:Novum Testamentum]]
[[lmo:Növ Testament]]
[[lt:Naujasis Testamentas]]
[[mg:Testamenta Vaovao]]