Tofauti kati ya marekesbisho "Utao"

6 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: tl:Taoismo; cosmetic changes
d (roboti Badiliko: kl:Taoisme)
d (roboti Nyongeza: tl:Taoismo; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Huangti.jpg|thumb|180px|Kaisari [[Huang Ti]] alikuwa mtawala wa China aliyefuata utao]]
[[ImagePicha:Yin yang.svg|thumb|180px|Alama ya [[Yin-yang]] ni nembo la Utao]]
'''Utao''' (pia: udao) ni aina ya imani katika nchi ya [[China]] inayoitwa wakati mwingine [[falsafa]] na wakati mwingine [[dini]].
 
Asili yake ni katika [[karne ya 4 KK]] wakati mzee [[Laotze]] alipoandika kitabu cha [[Tao te king]]. Mafundisho yake ni msingi wa Utao.
 
Nembo yake ni alama ya taijitu inayojulikana zaidi kama [[yin-yang]] inayoonyesha jinsi gani vinyume ni umoja.
 
Pamoja na [[Ukonfusio]] na [[Ubuddha]] ni moja ya imani tatu zilizoathiri na kuumba utamaduni wa China. Mafundisho yake huonekana katika Siasa, uchumi, sanaa, falsafa, fasihi, chakula, tiba, kemia, jiografia na elimu ya vita.
 
[[Tao]] au Dao kiasili ni neno la Kichina la kutaja "njia". Katika Utao imekuwa njia ya kutaja nguvu inayoratibu ulimwengu. Wafuasi wa Utao huamini ya kwamba hakuna maneno ya kibinadamu yanayoweza kueleza tao yenyewe. Kwa hiyo wanaona umuhimu wa kufuata utaratibu wa maisha badala ya majadiliano ya kinadharia. Tao ina nia yake na mtu anatakiwa kwenda sambamba iwezekanavyo na mwendo asilia wa maisha.
 
Mafundisho yake hukazia sifa za huruma, upole na unyenyekevu.
Wakati wa ukomunisti mkali chini ya [[Mao Zedong]] utao uligandamizwa pamoja na dini zote na mahekalu mengi yaliharibiwa. Wamonaki na makuhani walifungwa gerezani, wengine kuuawa na kulazimihswa kuacha kazi yao. Lakini imani iliendelea kwa siri. Leo hii kuna makadirio ya kwamba labda Wachina milioni 80 hufuata tena Utao pamoja na wengine nje ya Jamhuri ya Watu wa China kama huko [[Taiwan]], [[Singapur]] na penginepo.
 
== Picha za Utao ==
 
<gallery></gallery>
 
{{mbegu}}
 
[[Category:China]]
[[CategoryJamii:FalsafaChina]]
[[CategoryJamii:DiniFalsafa]]
[[Jamii:Dini]]
 
[[an:Taoísmo]]
[[ta:டாவோயிசம்]]
[[th:ลัทธิเต๋า]]
[[tl:Taoismo]]
[[tr:Taoizm]]
[[ug:داۋجياۋ دىنى]]
44,008

edits