Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mtu
No edit summary
Mstari 1:
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] – [[1623]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Polotsk]] (leo nchini [[Belarus]]). Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]] kama [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni tarehe [[12 Novemba]].
 
==Maisha==
Yohane Kuntsevych alizaliwa nchini [[Ukraine]] mwaka 1580 katika familia ya [[Waorthodoksi]].
Mtakatifu Yosafat alizaliwa kwa jina Yosafat Kuntsevych nchini [[Ukraine]] mwaka wa 1580 katika familia ya Waorthodoksi waliounganishwa na kanisa katoliki chini ya mapatano ya [[maungano ya Brest]] yaliyoanzisha [[kanisa la Kigiriki-Katoliki la Ukraine]]. Akajiunga na wamonaki wa [[Mt. Basil]]. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na kanisa katoliki kwa jumla. Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi wa pekee wa kanisa lake. Alifia dini yake mwaka wa 1623 akiuawa na wapinzani wa umoja na kanisa katoliki.
 
Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
 
Alipata [[upadri]], akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa [[liturgia]] ya Kiorthodoksi na pia [[umoja]] na Kanisa Katoliki kwa jumla.
 
Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi huo wa pekee wa kanisa lake hadi mwaka 1623 alipouawa na Waorthodoksi waliopinga umoja huo.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum]
 
==Tazama pia==
Line 10 ⟶ 19:
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
 
[[Jamii:Maaskofu]]
[[Category:Watakatifu Wakristowa Ukraine]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[categoryCategory:Watu wa Ukraine]]
 
{{mbegu-mtu}}