Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 55:
|}}
 
'''Ghana''' ni [[nchi]] iliyoko [[Afrika ya Magharibi]]. Ni nchi ya kwanza ya [[Afrika]] kupata [[uhuru]] kutoka [[Afrikaukoloni]]. Ilipata uhuru mwaka [[1957]] kutoka kwa [[Uingereza|Waingereza]] ikiongozwa na [[rais]] wake wa kwanza, [[Kwame Nkrumah]]. [[Mji mkuu]] ni [[Accra]]. Kwa orodha ya marais wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Ghana|hapa]].
 
Ghana inapakana na nchi ya [[Cote d'Ivoire|Côte d'Ivoire]] upande wa [[magharibi]], [[Burkina Faso]] upande wa [[kaskazini]], [[Togo]] upande wa [[mashariki]], na [[Guba ya Guinea]] katika mwambao wa [[kusini]].