Ujiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Ujiji''' ni mji upande wa Magharibi wa Tanzania mwambaoni kwa Ziwa Tanganyika. Iko kilometa 10 tu upande wa Kusini wa mji wa Kigoma. Ujiji ina historia ndefu. ...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ujiji''' ni mji upande wa Magharibi wa [[Tanzania]] mwambaoni kwa [[Ziwa Tanganyika]]. Ni mahali pa kihistoria na mji wa kale katika magharibi ya Tanzania. Iko kilometa 10 tu upande wa Kusini wa mji wa [[Kigoma (mji)|Kigoma]].
 
==Historia==
Ujiji ina historia ndefu. Ni mahali ambapo [[Richard Burton]] na [[John Hanning Speke]] walifikia Ziwa Tanganyika mwaka wa 1858, na tena ambapo [[Henry Morton Stanley]] alimkuta [[David Livingstone]] mwaka wa 1871.
Ujiji huaminiwa imeundwa mwanzoni mwa [[karne ya 1]]9 labda kidogo baada ya mwaka 1821 [[http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/Standardframeseite.php (makala "Udjidji" katika [[DKL]]]]. Ilikuwa mwisho wa [[njia ya misafara]] kati ya pwani la [[Bahari Hindi]] na Ziwa Tanganyika. Bidhaa kutoka pwani zilihifadhiwa hapa katika ghala na kusambazwa kwa biashara ya kuvukia ziwa kwa mashua.
[[
UjijiWapelelezi]] inaWazungu historiawalianza ndefukufika wakati wa [[Tippu Tip]]. Ni mahali ambapo [[Richard Burton]] na [[John Hanning Speke]] walifikia Ziwa Tanganyika mwaka wa 1858, na tena ambapo [[Henry Morton Stanley]] alimkuta [[David Livingstone]] mwaka wa 1871.
 
Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] umuhimu wa Ujiji ulipungua. Mwambao ulifaa mashua ya kienyeji lakini kina hakikutosha kwa ajili ya meli mpya. Hivyo makao makuu ya utawala yalipelekwa Kigoma penye bandari nzuri.
 
{{mbegu}}