Guinea (kanda) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ongeza "Guinea Mpya"
Mstari 12:
Vituo vya nchi za [[Ulaya]] kwa muda mrefu zilikuwa ndogo tu za kusaidia biashara kwanza ya watumwa baadaye ya [[mawese]] kwa mahitaji ya [[mapinduzi ya viwanda]] Ulaya. Mwisho wa karne ya 19 [[BK]] eneo lote liliingia katika kipindi cha ukoloni ya Kiulaya.
 
Jina la Guinea linatumika leo kwa ajili ya nchi tatu za [[Guinea]], [[Guinea-Bisau]] na [[Guinea ya Ikweta]] barani Afrika. Linatokea tena katika kawaida ya lugha mbalimbali kama majina ya kijiografia ya kutaja "[[ghuba ya Guinea]]", "misitu ya Guinea", "nyanda za juu za Guinea" na kadhalika.
 
Kisiwa kikubwa cha [[Guinea Mpya]] karibu na [[Australia]] pamoja na nchi ya [[Papua Guinea Mpya]] ndani yake vimepokea jina kutokana na ile "Guinea ya awali" barani Afrika.
 
'''Kanda la Guinea ya Juu'''