Guinea (kanda) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ongeza "Guinea Mpya"
ongeza "Guinea Mpya"
Mstari 2:
'''Guinea''' ni jina la kihistoria kwa ajili ya kanda ya kusini ya [[Afrika ya Magharibi]] kati ya [[jangwa]] [[Sahara]] na [[Atlantiki]]. Nchi zote kuanzia [[Senegal]] hadi kaskazini ya [[Angola]] zilihesabiwa kuwa "Guinea". Waandishi wa Ulaya walitofautisha "Guinea ya Juu" (Senegal hadi Kamerun) na "Guinea ya Chini" (Kamerun hadi Angola).
 
==Majina ya kihistoria kwa Afrika ya Magharibi==
Lugha za Ulaya zilikuwa na majina ya kihistoria kwa ajili ya sehemu mbalimbali za pwani la Guinea ya Juu: Pwani la Pilipili, Pwani la Meno ya Ndovu, Pwani la Dhahabu na Pwani la Watumwa. Majina haya yametokana na biashara kuu katika sehemu zile. Jina la "Pwani la Meno ya Ndovu" linaendelea kutumika katika nchi ya [[Cote d'Ivoire]] (Ivory Coast). [[Ghana]] lilitwa "Pwani la Dhahabu" hadi uhuru.
 
==Asili ya jina "Guinea"==
Jina la "Guinea" limetokana na jina la kale kwa ajili ya sehemu kubwa ya upande wa kusini ya Afrika ya Magharibi likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya [[kiberber]]. Maelezo mengine yasema ni umbo la jina "Ghana" kutokana na ufalme wa kale.
 
==Historia ya pamoja==
Nchi za eneo hili zilishiriki katika biashara ya kimataifa kwa kuwasiliana na [[Afrika ya Kaskazini]] na dunia ya Kiislamu kwa [[biashara ya misafara]] ya Sahara lakini pia kwa kuwasiliana na Ulaya kupitia Atlantiki.
 
Line 12 ⟶ 15:
Vituo vya nchi za [[Ulaya]] kwa muda mrefu zilikuwa ndogo tu za kusaidia biashara kwanza ya watumwa baadaye ya [[mawese]] kwa mahitaji ya [[mapinduzi ya viwanda]] Ulaya. Mwisho wa karne ya 19 [[BK]] eneo lote liliingia katika kipindi cha ukoloni ya Kiulaya.
 
==Jina la Guinea leo==
Jina la Guinea linatumika leo kwa ajili ya nchi tatu za [[Guinea]], [[Guinea-Bisau]] na [[Guinea ya Ikweta]] barani Afrika. Linatokea tena katika kawaida ya lugha mbalimbali kama majina ya kijiografia ya kutaja "[[ghuba ya Guinea]]", "misitu ya Guinea", "nyanda za juu za Guinea" na kadhalika.
 
Kisiwa kikubwa cha [[Guinea Mpya]] karibu na [[Australia]] pamoja na nchi ya [[Papua Guinea Mpya]] ndani yake vimepokea jina kutokana na ile "Guinea ya awali" barani Afrika.
 
'''==Nchi za Kanda la Guinea ya Juu''=='
 
* [[Senegal]]
Line 31 ⟶ 35:
* [[Kamerun]]
 
'''==Nchi za Kanda la Guinea ya Chini'''==
 
* [[Kamerun]]