Tofauti kati ya marekesbisho "Mkondo wa Benguela"

1,198 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
(New page: thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini Mkondo wa Benguela ni mkondo wa bahari unaopita katika Atlantiki kuelekea kaskazini.)
 
[[image:Benguela.PNG|thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini]]
 
'''Mkondo wa Benguela''' ni [[mkondo wa bahari unaopita]] katika [[Atlantiki]] ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na [[Antaktika]] na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km.
 
Mkondo husukuma maji baridi kwenye pwani la Afrika Kusini, Namibia na Angola. Maji yake huwa vuguvugu kiasi jinsi inavyofika kaskazini katika halijoto ya juu zaidi. Karibu na [[ikweta]] unabadilika mwelekeo wake na kuingia katika [[mkondo wa kusini ya ikweta]]. Sehemu ya maji yake inaingia katika [[bahari ya Karibi]] na kulisha [[mkondo wa ghuba]].
 
Kusini ya rasi ya Afrika mkondo wa Benguela unakutana na maji ya vuguvugu ya [[mkondo wa Agulhas]] kutoka [[Bahari Hindi]].
 
==Athira kwa hali ya hewa Namibia==
Ukipita kwenye pwani la [[Namibia]] husababisha hali ya hewa kavu sana. Baridi ya mkondo wa Benguela hupoza upepo kutoka kusini-magharibi na kuusababisha kunyesha unyevu wake kama mvua baharini hivyo kuzuia mvua barani. [[Jangwa la Namib]] ni tokeo la mazingira haya. Halijoto ya maji kwenye mwambao wa Namibia huwa ni kwenye 15 [[°C]] na ukungu hutokea mara kwa mara mwambaoni.
 
[[Category:Mikondo ya Bahari]]
 
[[de:Benguelastrom]]
[[en:Benguela Current]]
[[es:Corriente de Benguela]]
[[nl:Benguelastroom]]
[[pl:Prąd Benguelski]]