Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] hivi – [[1623]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Polotsk]] (leo nchini [[Belarus]]). Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni tarehe [[12 Novemba]].
 
==Maisha==
YohaneYosafat Kuntsevych (kwa [[Kibelarus]] Язафат Кунцэвіч, ''Jazafat Kuncevič'') alizaliwa nchini[[Wlodzimierz Wolynski]] katika mkoa wa [[UkraineVolinia]] (uliokuwa sehemu ya [[Lithuania]]) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya [[Waorthodoksi]] akaitwa Yohane katika [[ubatizo]].
 
Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
Mstari 12:
==Viungo vya nje==
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum]
*[http://www.newadvent.org/cathen/08503b.htm ''St. Josaphat Kuncevyc'' katika Catholic Encyclopedia]
*[http://saints.sqpn.com/saintj61.htm Patron Saints Index: ''Saint Josaphat'']
 
==Tazama pia==
Line 19 ⟶ 21:
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
 
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wamonaki Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa Ukraine]]
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa UkraineBelarus]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[Category:Watu wa Ukraine]]
 
{{mbegu-mtu}}