Tofauti kati ya marekesbisho "Mkondo wa Benguela"

94 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
[[image:Benguela.PNG|thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini<br><small>mikondo baridi kwa rangi ya buluu - mikondo ya vuguvugu kwa rangi nyekundu</small>]]
 
'''Mkondo wa Benguela''' ni [[mkondo wa bahari]] katika [[Atlantiki]] ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na [[Antaktika]] na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km.