Shirikisho la Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Map - Deutscher Bund 1820.png|thumb|300px|Shirikisho la Ujerumani katika Ulaya. <br>Sehemu za nchi mbili kubwa ndani yake [[Austria]] na [[Prussia]] zilikuwa nje ya shirikisho]]
'''Shirikisho la Ujerumani''' ''([[Kijer.]]: Deutscher Bund")'' ilikuwa ushirikiano wa nchi za [[Ulaya ya Kati]] hasa za shemu za [[Ujerumani]] baada ya [[Mkutano wa Vienna]] [[1815]] hadi [[vita ya Prussia na Austria ya 1866]].
 
Nchi hizi ziliwahi kuwa sehemu za [[Dola Takatifu la Kiroma]] hadi [[1806]] iliyokwisha kutokana na vita za [[Napoleoni]].