Dola la Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Dola la Ujerumani 1871-1918 thumb|Dola la Ujerumani 1919-1937 '''Dola la Ujerumani''' ''(Kijer.: Deutsches Reich)''...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Deutsches Reich1.png|thumb|Dola la Ujerumani 1871-1918]]
[[Image:Deutsches Reich2.png|thumb|Dola la Ujerumani 1919-1937]]
[[Image:Ujerumani 1942.png|thumb|250px|Dola la Ujerumani Kubwa 1942]]
'''Dola la Ujerumani''' ''([[Kijer.]]: Deutsches Reich)'' lilikuwa jina la [[Ujerumani]] kati ya 18 Januari 1871 hadi 1949 (wengine husema: 1945).
 
Line 22 ⟶ 23:
Tangu 1938 Hitler alipanusha eneo la Dola kwa kutwaa Austria na Uceki na kuingiza maeneo haya ndani ya Dola la Ujerumani.
 
Utawala wake ulilenga kwa [[vita kuu ya pili ya dunia]] iliyoanza [[1 Septemba]] [[1939]]. Katika miaka ya kwanza ya vita hii Ujerumani ilitawala sehemu kubwa ya Ulaya. 1942 jina lilibadilishwa kuwa "Dola la Ujerumani Mkubwa" ''([[Kijer.]]: Grossdeutsches Reich)'' na maeneo mengi ya Poland na Ulaya ya Mashariki yalitangazwa kuwa shemu za Dola.
 
==Mwisho wa Dola la Ujerumani==