Dola la Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Tangu 1938 Hitler alipanusha eneo la Dola kwa kutwaa Austria na Uceki na kuingiza maeneo haya ndani ya Dola la Ujerumani.
 
Utawala wake ulilenga kwa [[vita kuu ya pili ya dunia]] iliyoanza [[1 Septemba]] [[1939]]. Katika miaka ya kwanza ya vita hii Ujerumani ilitawala sehemu kubwa ya Ulaya. 1942 jina lilibadilishwa kuwa "Dola la Ujerumani MkubwaKubwa" ''([[Kijer.]]: Grossdeutsches Reich)'' na maeneo mengi ya Poland na Ulaya ya Mashariki yalitangazwa kuwa shemu za Dola.
 
==Mwisho wa Dola la Ujerumani==