Justin Timberlake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: li:Justin Timberlake
d roboti Nyongeza: sk:Justin Timberlake; cosmetic changes
Mstari 10:
| nchi = [[Marekani]]
| aina ya muziki = Pop na R&B
| kazi yake = Mwanamuziki<br />Mwigizaji
| miaka ya kazi =
| ameshirikiana na =
Mstari 17:
}}
'''Justin Timberlake''' (amezaliwa tar. [[31 Januari]], [[1981]] mjini Memphis, Tennessee) ni mwimbaji wa muziki wa pop na R&B kutoka nchini [[Marekani]]. Timberlake alianza kujipatia maarufu baada ya kucheza kipindi cha [[televisheni]] ([[Mickey Mouse Club]]) kilichokuwa maalum kwa ajili ya watoto, na baadaye katika kuwa kama mmoja wa washindi wa tuzo ya Grammy-bendi bora ya vijana *NSYNC. Baadaye alianza kuimba akiwa kama msanii pekee na akafanikiwa kutoa albamu mbili za muziki, Justified na FutureSex/LoveSounds.
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Asili ya ukoo wa Timberlake ulikuwa unatokea nchini [[Uingereza]], na familia walikulia katika imani za Kibaptist. Wazazi wake walitengana mnamo mwaka wa 1985 na baada ya hapo, mamake aliolewa tena na mume mwingine, vilevile babake akaowa mke mwingine. Maisha yake yote alikulia mjini Millington, Tennessee, katika mji mdogo wa kaskazini ya Memphis.
 
Mstari 24:
 
Wakati wa maonyesho ya kipindi hicho, Timberlake akakutana na aliyewahi kuwa mpenzi wake ([[Britney Spears]]), na wengine alikuwemo [[Christina Aguilera]], na mshirika mwenzake wa katika bendi bwana [[JC Chasez]]. Ilivyofika mwaka 1995 kipindi kiliisha, na Timberlake akajiunga na bwana Chasez na washikaji wengine, wakaanzisha kundi la muziki lilojulikana kwa jina la *[[NSYNC]]".
== Maisha binafsi ==
Timberlake alianza mambo ya mapenzi akiwa yungali mdogo sana, wa kwanza kuwa nae alikuwa mwanafunzi mwenziye na baada ya hapo mwanamuziki wa pop bi. Veronica Finn, lakini penzi lao halikudumu sana wakaachana pasipo na amani.
 
Mstari 35:
Mnamo mwaka [[2007]], ilijulikana kwamba Tilmberlake ana mahusiano ya kimapenzi na mwigizaji wa filamu Bi. Jessica Biel.
 
== Nyimbo na albamu ==
=== Albamu alizotoa ===
* [[2002]] - ''Justified''
* [[2006]] - ''FutureSex/LoveSounds''
 
=== Nyimbo maarufu ===
{| class=wikitable
! Mwaka !! Nyimbo !! Albamu
Mstari 61:
|}
 
=== Nyimbo alizoshirikishwa ===
Hii ni orodha ya nyimbo maarufu za Justin Timberlake ambazo alirekodi na wanamuziki wengine:
 
Mstari 68:
* [[2005]] - "Signs" <small>(na [[Snoop Dogg]] na Charlie Wilson)</small>
* [[2006]] - "Give It to Me" <small>(na [[Timbaland]] na [[Nelly Furtado]])</small>
== Filamu alizoigiza ==
* ''Model Behavior'' (2000)
* ''Edison Force'' (2005)
Mstari 75:
* ''Shrek the Third'' (2007)
* ''Southland Tales'' (2008)
== Marejeo ==
# http://www.imdb.com/name/nm0005493/
# http://www.gm.tv/index.cfm?articleid=21993
# [http://books.google.ca/books?vid=ISBN0310252474&id=sQWZlfsL3vkC&pg=PA11&lpg=PA11&ots=3sC0_CwEdj&dq=%22Justin+Timberlake%22+BAPTIST&sig=rMbGx0qi6XK1rE8uaZTipLkvKyI|id=ISBN0310252474 Teaching That Makes a Difference: How to Teach for Holistic Impact]
== Viungo vya nje ==
*[http://www.justintimberlake.com/ Official Website]
*[http://www.myspace.com/justintimberlake Official Myspace Music Profile]
*{{imdb name|id=0005493|name=Justin Timberlake}}
 
[[CategoryJamii:Wanamuziki wa Marekani]]
 
[[categoryJamii:Waliozaliwa 1981]]
[[Category:Wanamuziki wa Marekani]]
[[categoryJamii:Watu Walio Hai]]
[[category:Waliozaliwa 1981]]
[[category:Watu Walio Hai]]
 
[[als:Justin Timberlake]]
Line 127 ⟶ 126:
[[sc:Justin Timberlake]]
[[simple:Justin Timberlake]]
[[sk:Justin Timberlake]]
[[sq:Justin Timberlake]]
[[sr:Џастин Тимберлејк]]