William Wordsworth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gl:William Wordsworth; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:William Wordsworth - Project Gutenberg eText 12933.jpg|thumb|William Wordsworth]]
 
'''William Wordsworth''' ([[7 Aprili]] [[1770]] – [[23 Aprili]] [[1850]]) alikuwa mwandishi na mshairi muhimu wa karne ya 19 nchini [[Uingereza]]. Maandiko yake yahesabiwa kati ya fasihi ya kiromantiki na amesifiwa hasa kwa shairi ya "The Prelude" ''(= Utangulizi)''.
 
== Maisha yake ==
Alizaliwa kama mtoto wa mwanasheria akasoma kwenye chuo kikuu cha Cambridge. Alipokuwa mwanafunzi alipenda habari za [[mapinduzi ya Ufaransa]] akatembelea nchi hii mwaka 1890. Baadaye alichukia siasa ya mapinduzi Wafaransa walipovamia Uswisi mwaka 1798 akaendelea kusimama upande wa watetezi wa utaratibu wa kale.
 
Mstari 12:
Akaendelea kuwa maarufu na mwaka 1843 akapokea cheo cha mshairi rasmi wa mfalme.
 
== Maandiko muhimu ==
* ''Lyrical Ballads, with a Few Other Poems'' ([[1798]])
* ''Lyrical Ballads, with Other Poems'' ([[1800]])
Mstari 27:
{{commons|William Wordsworth}}
 
=== Viungo vingine ===
*[http://www.victorianweb.org/previctorian/ww/bio.html Short biographical sketch by Glenn Everett]
*[http://www.clainesfriends.org.uk/wordsworth.html Worsworth's links with Claines, Worcester]
Mstari 38:
*[http://www.rc.umd.edu/ Romantic Circles -- Excellent Editions & Articles on Wordsworth and other Authors of the Romantic period]
 
=== Maandiko ya Wordsworth mtandaoni ===
*[http://en.wikisource.org/wiki/Author:William_Wordsworth en:wikisource]
*[http://www.bartleby.com/145/wordchrono.html Bartleby.com's complete poetical works by Wordsworth]
Mstari 47:
*[http://thelouvertureproject.org/wiki/index.php?title=To_Toussaint_Louverture_-_poem_by_Wordsworth To Toussaint Louverture - poem by William Wordsworth]
*[http://www.thetalisman.org.uk/tintern/index.htm Extensive Information on Wordsworth's Poem, '' Lines Written a Few Miles above Tintern Abbey'']
 
[[Category:Waandishi wa Uingereza|Wordsworth, William]]
{{BD|1770|1850|Wordsworth, William}}
 
[[CategoryJamii:Waandishi wa Uingereza|Wordsworth, William]]
 
[[ar:ويليام ووردزوورث]]
Mstari 65:
[[fi:William Wordsworth]]
[[fr:William Wordsworth]]
[[gl:William Wordsworth]]
[[he:ויליאם וורדסוורת']]
[[hi:विलियम वर्ड्सवर्थ]]