Saturnus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: tl:Saturno (mitolohiya)
d roboti Nyongeza: th:เทพแซทเทิร์น; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:GiorcesBardo6.jpg|thumb|250px|Sanamu hii ya Saturnus imepatikana katika Tunisia yaonyeshwa katika makumbusho ya Bardo]]
'''Saturnus''' ni jina la mungu mmojawapo aliyeabudiwa katika [[Roma ya Kale]]. Aliaminiwa kuwa mungu aliyehusika mambo ya kilimo na mavuno. Alitolewa sadaka kwa ajili ya kustawi kwa mazao.
 
Katika masimulizi ya Waroma wa Kale Saturnus alikuwa mwana wa mungu wa mbingu [[Uranos]] na mungu wa kike wa ardhi [[Gaia]]. Alimpindua babake kwa kukata uume wake. Baadaye alihofia ya kwamba watoto wake watampindua vile hivyo alikula watoto wake wote isipokuwa mwana wa sita [[Jupiter]] alifichwa mbele yake. Saturnus alipaswa kukimbia akafikia Italia alipowafundisha wenyeji elimu ya kilimo.
Mstari 10:
Siku ya [[Jumamosi]] huitwa "siku ya Saturnus" yaani Saturday hadi leo kwa [[Kiingereza]] na [[Kiholanzi]].
 
[[CategoryJamii:Dini ya Roma ya Kale]]
 
[[af:Saturnus (mitologie)]]
Mstari 49:
[[sr:Сатурн (митологија)]]
[[sv:Saturnus (mytologi)]]
[[th:เทพแซทเทิร์น]]
[[uk:Сатурн (міфологія)]]
[[zh:萨图尔努斯]]