John Lennon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-mwanamuziki-Ulaya
{{The Beatles}}
Mstari 2:
 
'''John Lennon''' ([[9 Oktoba]], [[1940]] – [[8 Desemba]], [[1980]]) alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wanne wa bendi moja hodari iliyoitwa "[[The Beatles]]". Yeye alikuwa Mwingereza. Mke wake alikuwa [[Yoko Ono]]. Lennon aliuawa kwa kupigwa risasi mlangoni mwa nyumbani kwake jijini [[New York]] akiwa na umri wa miaka 40 tu.
 
{{The Beatles}}
 
 
 
{{commons|John Lennon}}