Hiroshima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mji mkuu mkoa wa hiroshima
Mstari 1:
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|200px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]
[[image:Hiroshima 1999 01.jpg|thumb|200px|Hiroshima 1999]]
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|200px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]
'''Hiroshima''' nindiyo [[mji mkuu]] katika [[JapaniMkoa wa Hiroshima]]. mwenyeKwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni moja1 wanaoishi katika mji huu. Iko kwenye kisiwa cha [[Honshu]].
 
Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa [[bomu ya nyuklia]] tar. [[6 Agosti]] [[1945]]. Ndege ya kivita ya [[Marekani]] ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na [[mnururisho wa kinyuklia]]. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.