43,458
edits
(jamii hiroshima) |
(+ infobox settlement) |
||
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Hiroshima
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|200px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]▼
|picha_ya_satelite = Hiroshima 1999 01.jpg
'''Hiroshima''' ndiyo [[mji mkuu]] katika [[Mkoa wa Hiroshima]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu. Iko kwenye kisiwa cha [[Honshu]]. ▼
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Japani]]
|subdivision_type1 = [[:en:Regions of Japan|Kanda]]
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mikoa ya Japani|Mkoa]]
|subdivision_name2 = [[Mkoa wa Hiroshima|Hiroshima]]
|wakazi_kwa_ujumla = 1,169,018
|website = [http://www.city.hiroshima.jp/ www.city.hiroshima.jp]
}}
[[Picha:Flag of Hiroshima City.png|left|80px]]
▲[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|
▲'''Hiroshima''' ndiyo [[mji mkuu]] katika [[Mkoa wa Hiroshima]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa
Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa [[bomu ya nyuklia]] tar. [[6 Agosti]] [[1945]]. Ndege ya kivita ya [[Marekani]] ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na [[mnururisho wa kinyuklia]]. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.
|
edits